Indexed topics
CONSTRUCTION 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Ujenzi wa Barabara ya Kahama–Bulyanhulu Jct–Kakola Unagharimu Shilingi Bilioni 100.6

Latest Tanzania construction news · Ujenzi wa Barabara ya Kahama–Bulyanhulu Jct–Kakola Unag… explained · updated Aug 9, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Ndejembi ametoa agizo hilo leo, Agosti 9, 2026, mkoani Shinyanga, wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 73 inayojengwa kwa kiwango cha lami.
  • Mboni Mhita, amesema Serikali imetoa zaidi ya Shilingi trilioni 2 kwa Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati huku akiahidi kusimamia kwa karibu ujenzi wa Barabara ya.
  • Akitoa taarifa ya maendeleo ya mradi huo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Ntuli Mwaikokesya, amesema ujenzi wa Barabara ya Kahama – Bulyanhulu Jct–Kakola wenye urefu wa kilomita 73 unagharimu Shilingi.
  • Amesema hadi sasa kilomita 32 kati ya 73 zimekamilishwa kwa kuwekwa lami, huku kazi nyingine za ujenzi zikiendelea katika maeneo mbalimbali ya mradi.
  • Deogratius Ndejembi, amemtaka Mkandarasi wa Barabara ya Kahama–Bulyanhulu Jct–Kakola, M/s China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC), kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo ili ukamilike kwa wakati na.

Latest news excerpts & sources: Ujenzi wa Barabara ya Kahama–Bulyanhulu Jct–Kakola Unag…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.