Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

UEFA Strengthens Regulations Following Infantino Payment Controversy

Latest Tanzania sports news · UEFA Strengthens Regulations Following Infantino Paymen… explained · updated Aug 8, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Infantino, ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa UEFA kuanzia mwaka 2009 hadi 2016, kupitia msemaji wake amekanusha madai hayo akisema ni “yasiyo ya kweli kabisa”.
  • Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amekanusha vikali madai kwamba UEFA ilimlipa kiasi kikubwa cha fedha mwanamke anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye wakati alipokuwa Katibu Mkuu wa UEFA.
  • Kwa mujibu wa uchunguzi uliochapishwa na The Daily Telegraph, mwanamke huyo alidaiwa kupewa malipo ya kuondoka kazini (severance payment) na UEFA kufuatia uhusiano huo uliodaiwa kutokea kipindi ambacho Infantino alikuwa.
  • Madai hayo yanaibuka wakati ambao Infantino anakabiliwa na presha kuhusu mustakabali wake kama rais wa FIFA, kufuatia mpango wake uliokwama wa kuuza sehemu ya haki za kibiashara za Kombe la Dunia kwa wawekezaji binafsi.

Latest news excerpts & sources: UEFA Strengthens Regulations Following Infantino Paymen…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.