Uchunguzi wa Awali Waanza Kuhusu Chanzo cha Ajali ya Mabasi
Latest Tanzania transport news · Uchunguzi wa Awali Waanza Kuhusu Chanzo cha Ajali ya Ma… explained · updated Aug 2, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- WATU wanane wamepoteza maisha na wengine 66 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Ibihwa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma.
- Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Rehema Jeremia, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema ilihusisha basi la Isamilo lenye namba za usajili T 428 EXP lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam.