Indexed topics
SPORTS 2 excerpts · 2 articles · 2 outlets

Twiga Stars Eliminated from WAFCON 2026 After 2-1 Loss to Ivory Coast

Latest Tanzania sports news · Twiga Stars Eliminated from WAFCON 2026 After 2-1 Loss… explained · 2026 updates · updated Aug 5, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Twiga Stars imeondolewa katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Ivory Coast katika mchezo wa mwisho wa Kundi B uliochezwa jijini.
  • Ndoto za timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026) zimehitimishwa rasmi baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya.
  • Ivory Coast ilianza kuonyesha ubora wake kipindi cha kwanza ambapo Nsira Ouedraogo aliifungia timu hiyo bao la kuongoza dakika ya 44, kabla ya Iines Konan kuongeza bao la pili kupitia mkwaju wa penalti dakika ya 68 na.
  • Matokeo hayo yameifanya Ivory Coast kumaliza kileleni mwa Kundi B ikiwa na pointi saba na kufuzu hatua ya robo fainali, huku Afrika Kusini ikimaliza nafasi ya pili baada ya kuifunga Burkina Faso bao 1-0.
  • Kwa upande wa Twiga Stars, imemaliza katika nafasi ya tatu na pointi 3, matokeo yanayomaanisha kuaga rasmi mashindano hayo makubwa barani Afrika.

Latest news excerpts & sources: Twiga Stars Eliminated from WAFCON 2026 After 2-1 Loss…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.