Indexed topics
BUSINESS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Truth API Service Launched by Trump Media for $100,000 Monthly Subscription

Latest Tanzania business news · Truth API Service Launched by Trump Media for $100,000… explained · updated Aug 12, 2026 · business news · companies · investment

TLDR

  • Wakati huo huo, Trump Media imeripoti mapato ya dola milioni 1.7, sawa na takribani TSh bilioni 4.4, katika kipindi cha Aprili hadi Juni, ikiwa ni ongezeko la asilimia 89 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka.
  • Zaidi ya kampuni 10 za biashara ya masoko zimeanza kutumia huduma mpya ya kampuni ya Trump Media inayowapa fursa ya kupata kwa haraka machapisho yanayowekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Truth Social, huku baadhi yao.
  • Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa muda wa Trump Media, Kevin McGurn, wateja wa mwanzo wa huduma hiyo ni zaidi kampuni zinazofanya biashara za masoko kwa kasi kubwa, ambazo zinatozwa kati ya dola 60,000 na dola.
  • Trump Media ilitangaza mwezi Julai mpango wa kuwapa taasisi za kifedha na wawekezaji wakubwa fursa ya kupata machapisho hayo kwa kasi zaidi.
  • Huduma hiyo inayojulikana kama Truth API ilianza kutolewa mwanzoni mwa Agosti, ikiwa na lengo la kuwapa wafanyabiashara wa masoko taarifa za mapema kutoka kwa akaunti zenye ushawishi mkubwa katika Truth Social.

Latest news excerpts & sources: Truth API Service Launched by Trump Media for $100,000…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.