Indexed topics
ENTERTAINMENT 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Trey Songz's Performance Expected to Boost Local Music Enthusiasm

Latest Tanzania entertainment news · Trey Songz's Performance Expected to Boost Local Music… explained · updated Aug 11, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • DAR ES SALAAM: Mwimbaji maarufu wa Marekani, Trey Songz, anatarajiwa kuwasili Tanzania kesho, Agosti 12, 2026 kutumbuiza katika tamasha la IMBEJU Sauti Moja, litakalofanyika Agosti 14 Viwanja vya TTCL, Kijitonyama, Dar.
  • Ujio wa Trey Songz unatarajiwa kuwa kivutio kikubwa katika tamasha hilo litakalowakutanisha wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania, likiwa sehemu ya matukio yanayoandaliwa na CRDB Foundation kwa lengo la.
  • Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Foundation, Tully Esther Mwambapa, amesema Trey Songz ndiye msanii mkubwa wa kimataifa anayetarajiwa kutumbuiza katika tamasha hilo.
  • Tutakuwa na wasanii wengi ambao watatumbuiza katika tamasha hilo, japo msanii mkubwa ni Trey Songz kutoka Marekani.
  • Mbali na Trey Songz, tamasha hilo litashirikisha wasanii wengine wakubwa kutoka Afrika, akiwemo BNXN (Buju) wa Nigeria na Kabza De Small wa Afrika Kusini, huku Tanzania ikiwakilishwa na Mbwana Kilungi ‘Mbosso’ na George.

Latest news excerpts & sources: Trey Songz's Performance Expected to Boost Local Music…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.