Indexed topics
INTERNATIONAL 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Tensions Between Lula's Government and the US Over Trade Tariffs

Latest Tanzania international news · Tensions Between Lula's Government and the US Over Trad… explained · 2026 updates · updated Aug 4, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • RIO, Brazil RAIS wa Brazil, Luiz Inacio Lula da Silva, ameanza rasmi kampeni zake za kuwania muhula wa nne kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba, 2026.
  • Kupitia Workers’ Party (Chama cha Wafanyakazi), Lula mwenye umri wa miaka 80 alirejea madarakani mwaka 2023 baada ya kuiongoza Brazil kwa mihula miwili kuanzia mwaka 2003 hadi 2010.
  • Bolsonaro (45), ameibuka baada ya baba yake kushitakiwa kwa kosa la uhaini, akitajwa kutaka kumzuia Lula kuingia madarakani baada ya Uchaguzi uliopita (2022).
  • Hata hivyo, katika utafiti uliofanywa hivi karibuni na taasisi ya Datafolha, Lula ameonekana kuwa na asilimia 48 ya kushinda, huku Flavio akiwa na asilimia 43.
  • AJITETEA ISHU YA UMRI Kwa upande mwingine, wakosoaji wa Lula wanasema kwa umri wa miaka 80 alionao mwanasiasa huyo, alipaswa kupumzika na kuwaachia vijana wenye nguvu na fikra zinazoendana na kasi ya mabadiliko ya dunia.

Latest news excerpts & sources: Tensions Between Lula's Government and the US Over Trad…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.