Indexed topics
BUSINESS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

TBA Prepares 630 Hectares for Investment in Dodoma

Latest Tanzania business news · TBA Prepares 630 Hectares for Investment in Dodoma explained · updated Aug 4, 2026 · business news · companies · investment

TLDR

  • Meneja wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mkoa wa Dodoma, QS Emmanuel Wambura,akizungumza kwenye banda la TBA katika Maonesho ya 49 ya Kilimo ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Dkt.
  • Amesema mbali na miradi ya Serikali, TBA imeweka mkazo katika kuendeleza miradi ya makazi na miji ya kisasa, ikiwemo mradi wa ujenzi wa nyumba 3,500 katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma, ambao unaendelea kutekelezwa.
  • Wambura amefafanua kuwa Mkoa wa Dodoma pekee una eneo la takribani hekta 630 lililoandaliwa kwa ajili ya uwekezaji, likiwa na miundombinu muhimu na mazingira rafiki kwa shughuli za biashara.

Latest news excerpts & sources: TBA Prepares 630 Hectares for Investment in Dodoma

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.