Indexed topics
AGRICULTURE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Tathmini ya Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane Ili Kuboresha Miundombinu na Uhusiano wa Wakulima na Wanunuzi

Latest Tanzania agriculture news · Tathmini ya Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane Ili Kubores… explained · 2027 updates · updated Aug 8, 2026 · agriculture news · farmers · crops

TLDR

  • Said Mtanda, amewataka wakulima, wafugaji na wavuvi kutumia elimu, uzoefu na teknolojia walizojifunza katika Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima (Nane Nane) kuongeza uzalishaji na kufanya mageuzi katika sekta.
  • Mtanda ametoa kauli hiyo wakati akifunga Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane Kanda ya Ziwa Magharibi yaliyofanyika katika Viwanja vya Nyamhongolo, Wilaya ya Ilemela.
  • Amesisitiza wananchi kuzingatia kanuni bora za kilimo na ufugaji pamoja na kutumia teknolojia walizoziona katika maonesho hayo.Amesema uzalishaji usiozingatia soko hauwezi kumkomboa mkulima, hivyo wakulima wanapaswa.
  • Ametaka tathmini ya maonesho hayo ifanyike ili kuboresha miundombinu ya Nyamhongolo, kuongeza waoneshaji hususani wakulima wadogo, vijana na wanawake, pamoja na kuimarisha uhusiano kati ya waoneshaji na wanunuzi ifikapo.

Latest news excerpts & sources: Tathmini ya Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane Ili Kubores…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.