Tanzania Signs Three Key Agreements with Africa50
Latest Tanzania public admin news · Tanzania Signs Three Key Agreements with Africa50 explained · updated Aug 6, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Na Avila KakingoSERIKALI imesema Jukwaa la Miundombinu Afrika (Infra for Africa Forum) limekamilika kwa mafanikio makubwa, huku sasa ikielekeza nguvu kwenye Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 unaofanyika.
- Samia Suluhu Hassan, wanahisa wa Africa50 wanakutana kujadili masuala ya uongozi na mwelekeo wa taasisi hiyo.
- Makubaliano hayo yanahusu ushirikiano kati ya TANESCO na Africa50 katika miradi ya usafirishaji wa umeme (transmission), mradi wa Mini LNG kati ya TPDC, Taqa Arabia na Africa50 kwa ajili ya kuchakata gesi asilia na.