Tanzania's Rise in Global GovTech Rankings from 90th to 26th
Latest Tanzania technology news · Tanzania's Rise in Global GovTech Rankings from 90th to… explained · 2022 updates · updated Jan 11, 2026 · tech news · innovation · digital
TLDR
- Hii ni mara ya pili kwa Tanzania kutambuliwa na Benki ya Dunia (WB) katika kupiga hatua ya ukomavu wa TEHAMA, ambapo mwaka 2022 Tanzania ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi zilizofanya vizuri zaidi duniani katika GovTech.
- Katika utafiti huo uliohusisha nchi 198, Tanzania ilipanda kutoka nafasi ya 90 mwaka 2021 hadi nafasi ya 26 mwaka 2022 na kutoka kundi B hadi kundi A.
- Ripoti ya GovTech Maturity Index (GTMI) 2025 imeangazia maeneo makuu manne ya TEHAMA:i.Mifumo ya Mikuu ya Serikali (Core Government Systems)ii.Huduma Zinazotolewa Mtandaoni (Online Public Service Delivery)iii.Jukwaa la.