Indexed topics
TECHNOLOGY 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Tanzania's Recognition in GovTech Maturity Index 2025

Latest Tanzania technology news · Tanzania's Recognition in GovTech Maturity Index 2025 explained · 2025 updates · updated Jan 11, 2026 · tech news · innovation · digital

TLDR

  • Ripoti ya GovTech Maturity Index (GTMI) 2025 imeangazia maeneo makuu manne ya TEHAMA:i.Mifumo ya Mikuu ya Serikali (Core Government Systems)ii.Huduma Zinazotolewa Mtandaoni (Online Public Service Delivery)iii.Jukwaa la.
  • Hii ni mara ya pili kwa Tanzania kutambuliwa na Benki ya Dunia (WB) katika kupiga hatua ya ukomavu wa TEHAMA, ambapo mwaka 2022 Tanzania ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi zilizofanya vizuri zaidi duniani katika GovTech.
  • Katika utafiti huo uliohusisha nchi 198, Tanzania ilipanda kutoka nafasi ya 90 mwaka 2021 hadi nafasi ya 26 mwaka 2022 na kutoka kundi B hadi kundi A.

Latest news excerpts & sources: Tanzania's Recognition in GovTech Maturity Index 2025

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.