Indexed topics
PUBLIC ADMIN 2 excerpts · 2 articles · 1 outlets

Tanzania's High GovTech Maturity Ranking by World Bank

Latest Tanzania public admin news · Tanzania's High GovTech Maturity Ranking by World Bank explained · updated Apr 18, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Hii ni mara ya pili kwa Tanzania kutambuliwa na Benki ya Dunia (WB) katika kupiga hatua ya ukomavu wa TEHAMA, ambapo mwaka 2022 Tanzania ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi zilizofanya vizuri zaidi duniani katika GovTech.
  • Ripoti ya GovTech Maturity Index (GTMI) 2025 imeangazia maeneo makuu manne ya TEHAMA:i.Mifumo ya Mikuu ya Serikali (Core Government Systems)ii.Huduma Zinazotolewa Mtandaoni (Online Public Service Delivery)iii.Jukwaa la.
  • Alieleza kuwa mfumo wa e-Mrejesho toleo la pili (e-Mrejesho v2) umeiwezesha nchi kushinda tuzo ya World Summit on the Information Society 2025 (WSIS Grand Champion), tuzo inayotolewa kwa miradi bunifu ya TEHAMA.
  • Katika utafiti huo uliohusisha nchi 198, Tanzania ilipanda kutoka nafasi ya 90 mwaka 2021 hadi nafasi ya 26 mwaka 2022 na kutoka kundi B hadi kundi A.

Latest news excerpts & sources: Tanzania's High GovTech Maturity Ranking by World Bank

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.