Our country has started implementing the National Vision 2050, whose long-term objectives include reaching a high-middle-income economy and a USD 1 trillion economy by 2050.
Tanzania inahitaji kuongeza kasi ya maendeleo kuliko ilivyofanya Singapore ili kufikia lengo la kuwa na uchumi wa dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.
inafikia uchumi wa Tanzania kwenye thamani ya dola kimarekani takribani trilioni 1, huku sekta binafsi ikitarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya mtaji wa uwekezaji.