Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Tamasha la Wiki ya Simba na Utoaji wa Damu Kituo cha Afya Mirerani

Latest Tanzania sports news · Tamasha la Wiki ya Simba na Utoaji wa Damu Kituo cha Af… explained · 2026 updates · updated Aug 3, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Mwenyekiti wa Tawi la Simba Tanzanite, Mohamed Said akizungumza mji mdogo wa Mirerani Agosti 3, 2026 amesema wana Simba watashiriki wiki ya Simba kwa kukimbia mbio fupi hadi kituo cha afya Mirerani na kuchangia utoaji.
  • Tunawaomba wana Simba wajitokeze kwa wingi siku ya Ijumaa Agosti 7, 2026 wakiwa na sare za jezi za Simba mpya na za zamani ili kufanikisha wiki ya Simba hapa mji mdogo wa Mirerani ikiwemo kutembea kituo cha watoto.
  • Na Mwandishi wetu, Mirerani Washabiki na wapenzi wa timu ya Simba, Tawi la Tanzanite mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wanatarajia kushiriki tamasha la wiki ya Simba kwa kufanya mambo mbalimbali.
  • Mwenyekiti Said amewaalika wana Simba wote wa mji mdogo wa Mirerani na mkoa wa Manyara kwa ujumla kushiriki tamasha la wiki ya Simba ili kufanikisha tukio hilo.
  • Katibu wa Tawi la Simba Tanzanite Mirerani, David Azaria amesema wanaendelea kuandikisha majina ya wanachama wenye sifa ili waongeze idadi ya wanachama wao.

Latest news excerpts & sources: Tamasha la Wiki ya Simba na Utoaji wa Damu Kituo cha Af…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.