Indexed topics
CIVIL SOCIETY 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Tamasha la Kizimkazi Kuimarisha Umoja na Ushirikiano katika Jamii

Latest Tanzania civil society news · Tamasha la Kizimkazi Kuimarisha Umoja na Ushirikiano ka… explained · updated Aug 11, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Tamasha la Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, lina msingi wa kuhifadhi na kuendeleza utamaduni, mila na desturi za watu wa Zanzibar.
  • Aidha, chama hicho kimesema tamasha hilo linalenga kuanzisha, kuendeleza na kuibua miradi ya kiuchumi na kimaendeleo katika jamii.
  • Mbeto amesema Tamasha la Kizimkazi halina sura ya kisiasa, bali limejielekeza katika kuonesha ustaarabu, mila, utamaduni, silka, akhlaq, michezo na shughuli mbalimbali za wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Tamasha la Kizimkazi la kila mwaka huwaunganisha wanajamii na kuwaweka pamoja.
  • Amesema kila jamii hutofautiana katika tabia, shughuli za uzalishaji mali, masuala ya kiuchumi na kijamii, ikiwemo ngoma, unyago, jando, harusi pamoja na mikusanyiko ya jadi na asili za watu wake.

Latest news excerpts & sources: Tamasha la Kizimkazi Kuimarisha Umoja na Ushirikiano ka…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.