TAEC's Educational Initiatives on Nuclear Technology at Nanenane 2026
Latest Tanzania education news · TAEC's Educational Initiatives on Nuclear Technology at… explained · 2026 updates · updated Aug 8, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- NANENANE: KUWEKEZA KATIKA MAARIFA Katika Maonesho ya Nanenane mwaka 2026, TAEC inaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi salama na yenye manufaa ya teknolojia ya nyuklia katika sekta mbalimbali za maendeleo.
- Huu ndio ujumbe tunaoupeleka kwa Watanzania kupitia Maonesho ya Nanenane 2026,” anahitimisha Ngamilo.
- Hii ndiyo elimu ambayo TAEC inaendelea kuifikisha kwa wananchi kupitia Maonesho ya Nanenane,” anasema Ngamilo.
- Anasema ushiriki wa TAEC katika Maonesho ya Nanenane haulengi tu kuonesha shughuli za Tume, bali pia kuwajengea wananchi uelewa kwamba teknolojia ya nyuklia ni nyenzo ya maendeleo inayoweza kuongeza uzalishaji wa.