SWISSAID's Initiative to Establish 15 Seed Banks in Mtwara and Lindi
Latest Tanzania agriculture news · SWISSAID's Initiative to Establish 15 Seed Banks in Mtw… explained · updated Aug 7, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Amesema kupitia mradi huo SWISSAID Tanzania na washarika wake wameanzisha benki 15 za mbegu za asili katika Mkoa wa Mtwara na Lindi.
- Maadhimisho ya Siku ya Mbegu na Chakula cha Asili yameandaliwa na SWISSAID Tanzania kwa kushirikiana na washirika wake kupitia mradi wa kilimo Ikolojia unaoitwa CROPS4HD.
- Tafiti zilizofanywa na SWISSAID zimeonesha kuwa mradi ulichangia kupunguza kwa uhaba wa chakula katika mikoa ya Lindi na Mtwara,” amesema.
- Mkurungenzi wa SWISSAID Tanzania, Betty Malaki amesema maadhimisho ya siku ya mbegu na chakula cha asili yanafanyika kwa mara ya tano mkoani Lindi.