Strengthening Economic Ties Between Tanzania and Oman
Latest Tanzania economy news · Strengthening Economic Ties Between Tanzania and Oman explained · updated Aug 4, 2026 · economy news · GDP · investment
TLDR
- Fursa hizo ni pamoja na uwekezaji, utalii na usafirishaji wa mizigo kati ya Tanzania na Oman, hatua inayolenga kuchochea ukuaji wa uchumi wa mataifa hayo mawili.Waziri wa Uchukuzi, Prof.
- Mbarawa amesema hatua hiyo pia itawapa wafanyabiashara wa Tanzania fursa ya kufikia kwa urahisi masoko ya Mashariki ya Kati, wakati watalii na wawekezaji kutoka Oman pamoja na mataifa jirani wakitarajiwa kuongezeka.