Indexed topics
POLITICS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Start of Mwenge wa Uhuru Relay in Mara Region on 01 August 2026

Latest Tanzania politics news · Start of Mwenge wa Uhuru Relay in Mara Region on 01 Aug… explained · 2026 updates · updated Aug 5, 2026 · politics news · government · policy

TLDR

  • Kanali Evans Alfred Mtambi leo tarehe 01 Agosti, 2026 amewaongoza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Mara katika mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru yaliyofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Balili, Halmashauri ya Mji.
  • Mtambi amewashukuru viongozi, watumishi, wadau na wananchi wote waliohusika kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha maandalizi ya mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 katika Mkoa wa Mara.
  • Kanali Mtambi amesema, Mbio za Mwenge wa Uhuru leo zitaanza Halmashauri ya Mji wa Bunda (01/8/2026), Halmashauri ya Wilaya ya Butiama (02/8/2026), Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti (03/8/2026), Halmashauri ya Wilaya ya.
  • Mkuu wa Mkoa ameeleza kuwa Mwenge wa Uhuru utakimbizwa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma (07/8/2026), Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (08/8/2026) na kuhitimishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda (09/8/2026) na.
  • Ujumbe wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2026 unaolenga katika ujenzi wa Amani, Umoja na Mshikamano wa Kitaifa chini ya kauli mbiu isemayo: “Tanzania ni yetu Sote, Tushikamane pamoja kuleta Maendeleo”.

Latest news excerpts & sources: Start of Mwenge wa Uhuru Relay in Mara Region on 01 Aug…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.