Ligi kuu ya Tanzania yaani NBC PREMIER LEAGUE itaendelea, Pamba Jiji watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Simba ambao wametoka kupata ushindi kwenye mechi yao ya kwanza ya ligi, huku wenyeji wao wakiambulia sare.
Pia ligi kuu ya Tanzania yaani NBC PREMIER LEAGUE nayo itaendelea, Pamba Jiji watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Simba ambao wametoka kupata ushindi kwenye mechi yao ya kwanza ya ligi, huku wenyeji wao wakiambulia sare.