Simba SC's Proposal to Permanently Sign Selemani Mwalimu
Latest Tanzania sports news · Simba SC's Proposal to Permanently Sign Selemani Mwalimu explained · updated Aug 8, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- Kiwango kizuri alichokionyesha Mwalimu akiwa na jezi ya Simba kimeifanya klabu hiyo ya Msimbazi kupambana kuhakikisha inapata saini yake ya kudumu kabla ya msimu mpya wa 2026/27 kuanza.
- Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 20 alijiunga na Simba kwa mkataba wa mkopo akitokea Wydad, na uwepo wake ndani ya kikosi cha Wekundu wa Msimbazi umeonekana kuongeza chachu na matumaini makubwa katika safu ya.
- Klabu ya Wydad Athletic Club ya nchini Morocco imeonyesha nia ya wazi ya kumrudisha nchini humo mshambuliaji wa Kitanzania, Selemani Mwalimu, ambaye kwa sasa anahusishwa na mpango wa kuendelea kuichezea Simba SC msimu.