Simba SC Achievements Under Mo Dewji's Investment
Latest Tanzania sports news · Simba SC Achievements Under Mo Dewji's Investment explained · updated Aug 7, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- Akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 90 tangu kuanzishwa kwa Simba SC mwaka 1936, Mo Dewji alibainisha kuwa ingawa wachezaji na makocha wengi bora wamepita klabuni hapo, kuna baadhi yao ambao uwezo wao ulikuwa wa.
- Mafanikio ya Simba Chini ya Uwekezaji wa Mo Dewji Tangu alipoingia rasmi kama mwekezaji wa Simba mwaka 2017, klabu hiyo imepiga hatua kubwa kimataifa na ndani ya nchi.
- Patrick Phiri anakumbukwa kwa kuweka rekodi ya kipekee ya kuiongoza Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2009-2010 bila kupoteza mchezo hata mmoja.
- Mo Dewji ameeleza kuwa na imani kubwa kwamba katika miaka ijayo, Simba itafanya makubwa zaidi barani Afrika kuliko hata mafanikio iliyoyapata katika miaka 90 iliyopita.
- Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameweka wazi hisia zake kuhusu kikosi hicho na kuwataja baadhi ya wachezaji na makocha ambao wamewacha alama isiyofutika moyoni mwake katika historia yote ya klabu hiyo.