Hatua hiyo imekuja wakati Simba ikiendelea na mipango ya kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya wa 2026/27, ambapo safu ya ushambuliaji ni miongoni mwa maeneo yanayopatiwa kipaumbele kutokana na mahitaji ya timu hiyo katika mashindano ya ndani na kimataifa.
Uamuzi huo ni sehemu ya mikakati ya Wekundu wa Msimbazi kujiandaa kikamilifu kuelekea msimu mpya wa 2026/27.