Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Simba Queens Prepares for CECAFA 2026 in Kenya

Latest Tanzania sports news · Simba Queens Prepares for CECAFA 2026 in Kenya explained · 2026 updates · updated Aug 10, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, Simba Queens, kesho Agosti 11 wanatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Kenya kuweka kambi maalum ya maandalizi kuelekea mashindano ya Kombe la Afrika Mashariki.
  • Michuano ya CECAFA mwaka huu inatarajiwa kutimua vumbi nchini Rwanda kuanzia Agosti 21 hadi Agosti 29.
  • Upinzani Mkali Kundi C Simba Queens imepangwa katika Kundi C ikijumuisha timu ngumu za Kenya Police Bullets (Kenya) pamoja na Top Girls (Burundi).
  • Hellen Kutsanedzi Azungumza Akizungumzia safari hiyo na maandalizi kwa ujumla, beki mpya wa kushoto wa Simba Queens aliyesajiliwa hivi karibuni kutoka Epiphany Warriors, Hellen Kutsanedzi, amebainisha kuwa kambi hiyo.

Latest news excerpts & sources: Simba Queens Prepares for CECAFA 2026 in Kenya

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.