Signing of Joint Declaration between Government and Private Sector for Implementation of National Development Vision 2050
Latest Tanzania business news · Signing of Joint Declaration between Government and Pri… explained · updated Aug 4, 2026 · business news · companies · investment
TLDR
- CHEMBA ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC), ni miongoni mwa taasisi za sekta binafsi zilizotia saini tamko la pamoja kati ya serikali na sekta binafsi katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
- Mwajuma Hamza, ambaye pia aliwasilisha salamu za wanawake wafanyabiashara nchini.Amesisitiza utayari wao kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kupitia biashara, uwekezaji, ubunifu na.