Ufanisi wa upasuaji huo umeonyesha hatua kubwa katika maendeleo ya tiba ya watoto walio na kasoro za kuzaliwa, huku wataalamu wakiendelea kutafuta njia salama zaidi za kutibu matatizo mbalimbali wakiwa bado tumboni mwa mama zao.
Ufanisi wa upasuaji huo umeonyesha hatua kubwa katika maendeleo ya tiba ya watoto walio na kasoro za kuzaliwa.