Shell's $10 Billion Earnings During U.S.-Iran Conflict
Latest Tanzania energy news · Shell's $10 Billion Earnings During U.S.-Iran Conflict explained · updated Aug 9, 2026 · energy news · power · electricity
TLDR
- Shell ya Uingereza ni kampuni nyingine iliyonufaika na vita hivyo, ikielezwa kuingiza faida ya Dola bilioni 10 kwa kipindi hiki cha miezi mitano ya vita kati ya Marekani na Iran.
- Bei ya mafuta imekuwa ikipanda kila Iran inapoufunga Mlango-Bahari huo unaopitisha meli zinazobeba asilimia 20 ya mafuta yanayoingia kwenye soko la dunia.