SELF MF Provides Education on Crop Insurance Benefits
Latest Tanzania agriculture news · SELF MF Provides Education on Crop Insurance Benefits explained · updated Aug 4, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Ameongeza kuwa SELF MF tayari imetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 400 kwa wanufaika wapatao 450,000, huku karibu asilimia 40 ya mikopo yote ikielekezwa kwenye sekta ya kilimo.
- Amesema SELF MF pia ina matawi katika mikoa 12 nchini yanayohudumia wananchi kutoka maeneo mbalimbali na kuwahimiza Watanzania kufika kupata ushauri na huduma za mikopo zitakazowawezesha kukuza shughuli zao za kiuchumi.