Seizure of 59 Bundles of Cannabis and 95 Bundles of Khat in Pwani Region
Latest Tanzania law justice news · Seizure of 59 Bundles of Cannabis and 95 Bundles of Kha… explained · updated Aug 6, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Mwamvua Mwinyi, Pwani Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata watuhumiwa 206 kwa makosa mbalimbali ya jinai katika operesheni na misako iliyofanyika kati ya Juni na Julai mwaka huu.
- Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, akizungumza na waandishi wa habari alisema, kati ya waliokamatwa, watuhumiwa 89 walihusishwa na biashara na matumizi ya dawa za kulevya.