Watuhumiwa hao walikutwa na simu janja 122 zinazodaiwa kuwa za wizi, luninga saba za aina mbalimbali na vifaa vinavyotumika kufuta na kusakinisha upya mifumo endeshi (software) ya simu zilizoibwa kabla ya kuziuza tena.
Amesema watuhumiwa hao walikutwa na simu janja 122 zinazodaiwa kuwa za wizi, luninga saba za aina mbalimbali pamoja na vifaa vinavyotumika kufuta na kusakinisha upya mifumo endeshi (software) ya simu zilizoibwa kabla ya kuziuza tena.