Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Sancho's Gratitude for Training Facilities at Flixton

Latest Tanzania sports news · Sancho's Gratitude for Training Facilities at Flixton explained · updated Aug 4, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Sancho mwenye umri wa miaka 26 alijiunga na Manchester United mwaka 2021 akitokea Borussia Dortmund kwa ada iliyokadiriwa kufikia pauni milioni 73, lakini alishindwa kuonyesha kiwango kilichotarajiwa ndani ya dimba la.
  • Winga wa zamani wa Manchester United, Jadon Sancho, ameonekana akifanya mazoezi na klabu ya Flixton inayoshiriki Ligi ya Daraja la 10 nchini England, huku akiendelea kujiweka fiti baada ya kuwa mchezaji huru kufuatia.
  • Aston Villa haikuchukua hatua ya kumsajili moja kwa moja baada ya mkopo kumalizika, hivyo Sancho alirejea Manchester United kabla ya kuachwa rasmi mwezi Juni.
  • Akizungumza baada ya kufanya mazoezi na Flixton, Sancho alisema: “Ninaishukuru Flixton kwa kunipa nafasi ya kufanya mazoezi hapa.

Latest news excerpts & sources: Sancho's Gratitude for Training Facilities at Flixton

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.