Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Rupia's Confidence in Simba SC's Potential

Latest Tanzania sports news · Rupia's Confidence in Simba SC's Potential explained · updated Aug 9, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Mshambuliaji wa Kenya Police FC, Elvis Rupia, ameipa Simba SC matumaini makubwa kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2026/27, akisisitiza kuwa Wekundu hao wa Msimbazi wana kikosi chenye ubora na ushindani wa hali ya juu.
  • Kauli hii ya Rupia imekuwa faraja na kuongeza hamasa mpya kwa benchi la ufundi na mashabiki wa Simba SC kuelekea mwanzo wa msimu wa 2026/27.
  • Kwangu mimi nafikiri msimu ujao wa 2026/27 watafanya vizuri sana katika mashindano mbalimbali,” alisema Rupia.
  • Kauli hiyo ya Rupia imekuja mara baada ya mchezo wa kirafiki uliowakutanisha Kenya Police FC dhidi ya Simba SC, ambapo wenyeji hao walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0.
  • Licha ya Simba SC kuondoka uwanjani ikiwa mikono mitupu, Rupia hakutazama matokeo ya ubao pekee, bali alivutiwa zaidi na mfumo pamoja na kiwango kilichoonyeshwa na Wekundu hao.

Latest news excerpts & sources: Rupia's Confidence in Simba SC's Potential

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.