Ronald Araujo's Mental Health Break After Chelsea Match
Latest Tanzania sports news · Ronald Araujo's Mental Health Break After Chelsea Match explained · updated Aug 12, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- Araujo alisajiliwa na Barcelona akitokea Boston River ya nchini kwao, Uruguay, mwaka 2018, na ameondoka akiwa amecheza mechi zaidi ya 200.
- Msimu uliopita, alikuwa nahodha wa kikosi, akicheza mechi 38 chini ya kocha raia wa Ujerumani, Hansi Flick, ambaye amesema Araujo ni miongoni mwa wachezaji bora.
- Pia, msimu uliopita alilimwa kadi nyekundu ya kipindi cha kwanza wakati Barcelona ikinyukwa mabao 3-0 na Chelsea katika mechi ya Ligi ya Mabingwa iliyochezwa katika Uwanja wa Stamford Bridge.