Rolls-Royce Boat Tail Valued at $28 Million
Latest Tanzania automotive news · Rolls-Royce Boat Tail Valued at $28 Million explained · updated Aug 9, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Rolls-Royce Droptail 💰 $30–32 milioni ≈ TZS 78 – 84 bilioni Hili ndilo gari ghali zaidi duniani kwa sasa.
- Rolls-Royce Boat Tail 💰 $28 milioni ≈ TZS 73 bilioni Hili ni gari linalofanana zaidi na yacht ya kifahari barabarani.
- Rolls-Royce Sweptail 💰 $13 milioni ≈ TZS 34 bilioni Sweptail ni gari lililotengenezwa kwa mteja mmoja tu.Muundo wake umehamasishwa na magari ya kifalme na ndege za kifahari.Kila detail yake ilichorwa kwa mkono. 6.
- Droptail ni mfano wa juu kabisa wa ufundi wa Rolls-Royce ambapo kila gari hutengenezwa kulingana na ladha ya mteja mmoja.Lina muundo wa kifahari wa “roadster” na kila sehemu yake ni ya kipekee kabisa, ikijumuisha mbao.