Indexed topics
AGRICULTURE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Rijk Zwaan's Initiative to Promote High-Quality Seeds for Youth in Agriculture

Latest Tanzania agriculture news · Rijk Zwaan's Initiative to Promote High-Quality Seeds f… explained · updated Aug 4, 2026 · agriculture news · farmers · crops

TLDR

  • Akizungumza kwenye maonesho ya Nanenane Dodoma Agosti 3,2026, Mtaalamu Mwandamizi wa Maendeleo ya Bidhaa na Afisa wa Kilimo wa Rijk Zwaan Tanzania, Neiman Mollel, amesema kampuni hiyo inaendelea kutoa elimu kwa wakulima.
  • Na Mwandishi wetu,Dodoma Kampuni ya Rijk Zwaan Tanzania imetumia Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma kuwahamasisha wakulima na vijana kutumia mbegu bora pamoja na teknolojia za kisasa za uzalishaji.
  • Amesema Rijk Zwaan Tanzania kwa sasa inafanya shughuli zake katika mikoa ya Dodoma, Arusha, Morogoro na Mwanza, ambako imeendelea kuwafikia wakulima kwa mafunzo, ushauri wa kitaalamu na huduma zinazowawezesha kuongeza.
  • Kwa upande wake, Mhamasishaji wa Kampuni ya Rijk Zwaan Tanzania, Ray Peter Mark, amewataka wakulima na wananchi wanaotembelea maonesho hayo kufika katika banda la kampuni hiyo ili kujifunza kuhusu mbegu bora, teknolojia.
  • Ameongeza kuwa Rijk Zwaan pia inaendelea kuwaunganisha wakulima na masoko mbalimbali, jambo linalowasaidia kuzalisha kwa kuzingatia mahitaji halisi ya walaji na kuongeza thamani ya mazao yao.

Latest news excerpts & sources: Rijk Zwaan's Initiative to Promote High-Quality Seeds f…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.