Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Resignation of Carlos Cordeiro Following FIFA Investment Plan Controversy

Latest Tanzania sports news · Resignation of Carlos Cordeiro Following FIFA Investmen… explained · updated Aug 5, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA), likiwakilisha nchi wanachama 55, lilitishia kususia mashindano yote ya FIFA iwapo pendekezo hilo lingetekelezwa.
  • Grafström aliwahimiza wafanyakazi kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kuendelea kuhudumia vyama wanachama 211 vya FIFA bila kuyumbishwa na mazingira ya kisiasa yaliyojitokeza.
  • Wakati huo huo, mshauri mkuu wa Infantino kuhusu mkakati na utawala wa FIFA, **Carlos Cordeiro**, amejiuzulu kufuatia sakata hilo, akieleza kuwa pendekezo hilo lilikuwa “makubaliano mabaya kwa soka” na lingeweka rehani.
  • Mkuu wa Maendeleo ya Soka Duniani wa FIFA, Arsène Wenger, amesema uamuzi wa kufuta mpango wa kuruhusu wawekezaji binafsi kununua hisa katika mashindano ya FIFA ulikuwa wa lazima na usio na mjadala.
  • Rais wa FIFA, Gianni Infantino, alikuwa amependekeza kuanzishwa kwa kampuni ya kibiashara ambayo ingeendesha mashindano makubwa ya FIFA, ikiwemo Kombe la Dunia, huku wawekezaji wa nje wakipewa nafasi ya kununua hisa.

Latest news excerpts & sources: Resignation of Carlos Cordeiro Following FIFA Investmen…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.