Request for JKCI to Establish Medical Camps in Anjouan, Comoros
Latest Tanzania health news · Request for JKCI to Establish Medical Camps in Anjouan,… explained · updated Aug 12, 2026 · health news · hospitals · public health
TLDR
- Peter Kisenge alisema uhitaji wa huduma za matibabu ya moyo nchini Comoro ni mkubwa kutokana na mwitikio uliokuwepo wakati wa kambi ya matibabu iliyofanyika mwezi Oktoba mwaka jana katika kisiwa cha Anjouan.“Tunaandaa.
- Hamad alisema baada ya JKCI kuweka kambi maalumu ya matibabu ya moyo katika kisiwa cha Anjouan kilichopo nchini Comoro uongozi wa kisiwa hicho umeitaka JKCI kuingia mkataba nao wa kuendelea kufanya kambi za matibabu.