Regina Ndege's Call for Prayer for National Peace and President Samia's Health
Latest Tanzania politics news · Regina Ndege's Call for Prayer for National Peace and P… explained · updated Aug 3, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Na Mwandishi wetu, Babati NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Ndege ameshiriki kufunga mkutano mkubwa wa Injili mji mdogo wa Gallapo Wilayani Babati Mkoani.
- Naibu Waziri Ndege ameshiriki kufunga mkutano mkubwa wa Injili mji mdogo wa Gallapo Wilayani Babati, kwa kuwaasa waumini na viongozi wa dini kuombea amani Taifa na kumuombea afya njema Rais Samia Suluhu Hassan ili aweze.