Recognition of Deogratius Lazari Mosha for Contributions to ICT Development
Latest Tanzania technology news · Recognition of Deogratius Lazari Mosha for Contribution… explained · updated Aug 10, 2026 · tech news · innovation · digital
TLDR
- Mosha si mgeni katika tuzo za kimataifa, kwani mwaka 2024 aliwahi kutunukiwa tuzo ya Kiongozi Bora katika Ubunifu Barani Afrika kupitia Forty Under 40 Africa Awards, zilizoandaliwa na Xodus Communications Limited.
- Kampuni hiyo ilishika nafasi ya pili katika kipengele cha Ubunifu wa Teknolojia katika Mifumo ya Malipo, huku Mkurugenzi wake, Deogratius Lazari Mosha, akitambuliwa miongoni mwa viongozi wanaofanya vizuri katika sekta.
- Kwa upande mwingine, Mkurugenzi wa Mainstream Group, Deogratius Lazari Mosha, ametambuliwa kutokana na mchango wake katika kukuza na kuendeleza teknolojia nchini.