Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Real Madrid's ongoing squad building under coach Jose Mourinho

Latest Tanzania sports news · Real Madrid's ongoing squad building under coach Jose M… explained · updated Aug 7, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Katika taarifa yake, Real Madrid ilisema: “Real Madrid na RB Leipzig wamefikia makubaliano ya uhamisho wa Yan Diomande, ambaye atakuwa mchezaji wa klabu yetu kwa misimu saba ijayo hadi Juni 30, 2033.” Diomande, ambaye.
  • Ingawa Real Madrid haijaweka wazi thamani ya usajili huo, ripoti zinaeleza kuwa dili hilo limegharimu takribani euro milioni 125 pamoja na nyongeza ya euro milioni 15 kulingana na mafanikio atakayoyafikia akiwa klabuni.
  • Chini ya kocha Jose Mourinho, ambaye amerejea kuinoa klabu hiyo kwa awamu ya pili, Real Madrid inaendelea kujenga kikosi kipya baada ya kumaliza misimu miwili mfululizo bila kutwaa taji kubwa, huku pia ikihusishwa na.
  • Real Madrid imetangaza rasmi kumsajili winga wa kimataifa wa Ivory Coast, Yan Diomande, kutoka RB Leipzig baada ya kukamilisha makubaliano ya uhamisho yaliyovutia ushindani mkubwa kutoka kwa vigogo wengine wa Ulaya.
  • Inadaiwa kuwa tayari alikuwa amekubaliana masharti binafsi na PSG kabla ya Real Madrid kuingilia kati na kufanikisha usajili huo.

Latest news excerpts & sources: Real Madrid's ongoing squad building under coach Jose M…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.