Indexed topics
AGRICULTURE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Proposal to Use Pannar and Pioneer Seeds to Increase Yields in Ruvuma, Lindi, and Mtwara

Latest Tanzania agriculture news · Proposal to Use Pannar and Pioneer Seeds to Increase Yi… explained · updated Aug 5, 2026 · agriculture news · farmers · crops

TLDR

  • Alitaja miongoni mwa mbegu hizo kuwa ni Pannar 9M-91, ambayo ina uwezo wa kutoa mahindi mawili kwa mmea, inahimili magonjwa, ina bua kubwa na inaweza kuzalisha kati ya magunia 35 hadi 40 kwa ekari moja endapo itatumika.
  • Na Mwandishi Maalum, Mbinga Kampuni ya Corteva Agriscience Tanzania Ltd, wasambazaji wa mbegu za mahindi aina ya Pannar na Pioneer, imewasisitiza wakulima wa mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara kuachana na matumizi ya.
  • Alieleza kuwa mbegu za mahindi aina ya Pannar na Pioneer zimefanyiwa utafiti wa kitaalamu, zinazingatia viwango vya ubora na usalama, na zimeonyesha mafanikio makubwa kwa wakulima katika maeneo mbalimbali nchini.

Latest news excerpts & sources: Proposal to Use Pannar and Pioneer Seeds to Increase Yi…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.