Proposal to Strengthen Alternative Dispute Resolution in Tanzania
Latest Tanzania law justice news · Proposal to Strengthen Alternative Dispute Resolution i… explained · updated Aug 13, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Mustapher Mohamed Siyani, leo tarehe 12 Agosti, 2026, amekutana na Wajumbe wa Baraza la Taasisi ya Wasuluhishi Tanzania (TIArb) na kufanya nao mazungumzo yanayolenga kuimarisha ushirikiano na kukuza utatuzi wa migogoro.
- Jaji Kiongozi ametumia fursa hiyo kuwakumbusha Wajumbe hao kuwa Tanzania imeanza kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ambayo eneo kubwa linahusu haki, hivyo kila Taasisi, ikiwemo TIArb ina mchango wa kutoa ili.
- Asema Mahakama ipo tayari kushirikiana ili kuimarisha matumizi ya usuluhishi Na FAUSTINE KAPAMA na HABIBA MBARUKU-Mahakama, Dodoma Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe.
- Viongozi hao wakiongozwa na Rais wa TIArb, Wakili Msomi Aderickson Njunwa, wamekutana na Jaji Kiongozi kwenye ofisi yake iliyopo Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
- Siyani alieleza kuwa Mahakama ya Tanzania ipo tayari kushirikiana na TIArb kuimarisha matumizi ya usuluhishi au upatanshi, kwani ndiyo mfumo ambao kwa sasa unapewa uzito mkubwa duniani katika utatuzi wa migogoro, iwe ya.