He said collaboration between financial institutions, government, businesses and innovators was critical to accelerating Tanzania’s transition to cleaner cooking solutions.
Jitihada za kuongeza matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini zimeendelea kushika kasi, huku Serikali na wadau mbalimbali wakielekeza nguvu katika kupunguza matumizi ya kuni na mkaa yanayochangia uharibifu wa mazingira na athari za kiafya.