Hususani Dk Omar aliiisisitiza VETA kuingia makubaliano na kampuni ya Hans Paul ya jijini Arusha inayojihusisha na kutengeneza na kubadili bodi za magari ya utalii (Safari vehicles).
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Mohamed Omar amehimiza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kuingia makubaliano na kampuni ya Hans Paul ya jijini Arusha inayojihusisha na kutengeneza na kubadili bodi za magari ya utalii (Safari vehicles).