Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amezitaka Kamati za Ushauri wa Stadi (TACs) za Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kuhakikisha mafunzo yanayotolewa yanaendana na mahitaji halisi ya soko la ajira, teknolojia na mabadiliko ya sekta mbalimbali.