Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Proposal for Permanent Hiring of George Lwandamina as Chipolopolo Coach

Latest Tanzania sports news · Proposal for Permanent Hiring of George Lwandamina as C… explained · updated Aug 10, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Haisaidii kuona Lwandamina akifanya kazi timu ya Taifa na wakati huo huo akiwa na klabu,” amesema. ‎Enzi zake uwanjani, Kampamba aliitumikia Chipolopolo katika fainali za AFCON za mwaka 2002 zilizofanyika nchini Mali.
  • Kampamba amekitaka Chama cha Soka cha Zambia (FAZ) kumpa ajira ya kudumu Lwandamina kuelekea mechi za kuwania tiketi ya fainali zijazo za AFCON za hapo mwakani.‎‎Zambia itaanza kusaka tiketi ya AFCON 2027 kwa kuivaa.
  • Kwa upande wake, Lwandamina aliwahi kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kuanzia mwaka 2015 hadi 2016.
  • HARARE, Zimbabwe KIUNGO wa zamani wa timu ya soka ya Taifa ya Zambia ‘Chipolopolo’, Gift Kampamba, anaamini George Lwandamina anastahili kuajiriwa moja kwa moja kukinoa kikosi hicho. ‎Lwandamina aliyewahi kufanya kazi.

Latest news excerpts & sources: Proposal for Permanent Hiring of George Lwandamina as C…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.