Indexed topics
SPORTS 2 excerpts · 2 articles · 2 outlets

Proposal for Mohamed Salah's Transfer to Trabzonspor Following Liverpool Departure

Latest Tanzania sports news · Proposal for Mohamed Salah's Transfer to Trabzonspor Fo… explained · updated Aug 5, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • ISTANBUL: Klabu ya Trabzonspor ya Uturuki imethibitisha kuwa ipo kwenye mazungumzo ya kumsajili nyota wa Misri, Mohamed Salah, huku ikitangaza kuwa mchezaji huyo anatarajiwa kuwasili Istanbul leo, Jumatano Agosti 5.
  • Kuondoka kwa Salah kutoka Anfield kulichochewa na msimu mgumu wa 2025/26.
  • Kwa mujibu wa talkSPORT, Salah alikubali kurekebisha mwaka wa mwisho wa mkataba wake uliokuwa na thamani ya pauni milioni 20 kwa mwaka, ili aruhusiwe kuondoka kwa uhamisho wa bure.
  • Mfumo huo wa makubaliano unafanana na ule uliotumika wakati wa kuondoka kwa aliyekuwa kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp, mwaka 2024.
  • Salah, mwenye umri wa miaka 34, aliondoka Liverpool mwishoni mwa msimu uliopita baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka tisa yenye mafanikio makubwa.

Latest news excerpts & sources: Proposal for Mohamed Salah's Transfer to Trabzonspor Fo…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.