Indexed topics
LIFESTYLE SERVICES 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Proposal for Cristiano Ronaldo to Marry Georgina Rodriguez

Latest Tanzania lifestyle services news · Proposal for Cristiano Ronaldo to Marry Georgina Rodrig… explained · updated Aug 5, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Irina Shayk (2010 – 2015) Kabla ya Georgina, mwanamitindo wa kimataifa kutoka Urusi, Irina Shayk, ndiye aliyedumu muda mrefu zaidi na Ronaldo.
  • Desiree Cordero (2016) Muda mfupi kabla ya kukutana na Georgina, Ronaldo alikuwa kwenye mahusiano ya muda mfupi na aliyewahi kuwa Miss Spain 2014, Desiree Cordero.
  • Imogen Thomas (2006) Mwaka 2006, Ronaldo alihusishwa na aliyekuwa mshiriki wa shindano la Big Brother, Imogen Thomas.
  • Gemma Atkinson (2007) Mwigizaji wa Uingereza, Gemma Atkinson, alikuwa kwenye uhusiano na Ronaldo kwa takribani miezi minne.
  • Bipasha Basu (2007) Baadaye mwaka 2007, Ronaldo alionekana akiwa katika wakati wa mahaba na nyota wa filamu za Bollywood, Bipasha Basu, kwenye klabu ya usiku mjini Lisbon.

Latest news excerpts & sources: Proposal for Cristiano Ronaldo to Marry Georgina Rodrig…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.