Indexed topics
EDUCATION 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Proposal for Collaboration Between VETA and EDOSAMA to Enhance Carpentry Skills Training

Latest Tanzania education news · Proposal for Collaboration Between VETA and EDOSAMA to… explained · updated Aug 11, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Akishukuru kwa ziara na wito huo wa Naibu Katibu Mkuu, Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA Kasore amesema, Februari, 2026 Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilizindua mpango wa ushirikiano baina ya waajiri.
  • Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) imetakiwa kushirikiana na Kiwanda cha kutengeneza samani za ndani cha EDOSAMA cha Kinyerezi jijini Dar es salaam kwa lengo la kuwaandaa watanzania wengi zaidi.
  • Akizungumza na uongozi wa VETA na EDOSAMA wakati wa ziara hiyo, Dkt.
  • Na sisi kama Wizara ya elimu na wasimamizi wakuu wa mpango huo, tumeona upo umihimu wa ushirikiano kati ya VETA wenye jukumu la kuzalisha vijana kupitia utoaji mafunzo ya ufundi stadi na EDOSAMA kama kituo cha uandaaji.
  • Saguda ameitaka VETA kuharakisha kuanzisha ushirikiano na EDOSAMA ili kuisaidia Serikali na Watanzania kunufaika na sekta hiyo.

Latest news excerpts & sources: Proposal for Collaboration Between VETA and EDOSAMA to…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.